Saratani ya Ovari (Ovarian Cancer)
Saratani ya ovari ni aina ya saratani inayojitokeza kwenye ovari, viungo vya uzazi vya mwanamke vinavyotengeneza mayai. Saratani hii mara nyingi haionyeshi dalili katika hatua za awali na inaweza kuenea haraka ndani ya pelvis na tumbo.
Vihatarishi