Unene kupita kiasi ni hali ambapo mtu ana uzito wa mwili uliozidi kiwango kinachokubalika kiafya, mara nyingi huamuliwa kwa kutumia kipimo cha BMI (Body Mass Index) kilicho juu ya 30.
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya Plasmodium ambavyo huambukizwa kwa binadamu kupitia mbu aina ya Anopheles. Mbu huyu humng'ata mtu na kuingiza vimelea hivi kwenye damu.
Vihatarishi
Shinikizo la damu la juu ni hali ambapo nguvu ya msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa ya damu ni kubwa zaidi kuliko kawaida, na hivyo kupelekea matatizo ya kiafya kama magonjwa ya moyo na kiharusi.
Ugonjwa wa kisukari umekuwa ikuongezeka kwa kasi na umeongeza mzigo mkubwa kwenye sekta ya afya. katika kipengele hichi tutauzungumzia ili tupate elimu kuhusiana na ugonjwa huu.
Ovari ya Polycystic (PCOS) ni ugonjwa wa homoni unaowaathiri wanawake wengi ulimwenguni. Una tabia ya kuwa na mchanganyiko wa dalili, ikiwa ni pamoja na mizunguko ya hedhi isiyo ya kawaida, viwango vya juu vya androgeni, na kuundwa kwa visukuku vidogo kwenye ovari.