MEDICAL CONSULTATION AND SECOND OPINIONS
Kwa lugha ya kiswahili kichwa cha habari kingesoma "UMUHIMU WA USHAURI WA MATITABU NA MAONI YA PILI KWA WAGONJWA". Kumekuwa na ongezeko la watu kujichukulia maamuzi ya vipimo gani wafanye na mpaka matumizi ya madawa bila kupata ushauri wa wataalamu wa afya. Katika makala ya leo tutaona umuhimu wa kuzungumza na daktari kabla hujafanya maamuzi yote. Pia tutafaamishana umuimu wa kupata mawazo ya pili na hata ya tatu ili kufikia lengo la kupata matibabu sahihi.