Saratani ya Utumbo Mpana (Colon Cancer)
Saratani ya utumbo mpana ni aina ya saratani inayojitokeza kwenye utumbo mpana, sehemu ya mfumo wa usagaji chakula inayounganisha utumbo mdogo na puru (rectum). Saratani hii inaweza kuathiri sehemu yoyote ya utumbo mpana na inajulikana pia kama saratani ya koloni na rektamu (colorectal cancer).
Vihatarishi