Nimonia ni maambukizi ya mapafu yanayosababisha viwambo vya hewa (alveoli) kujaa usaha au majimaji, hivyo kuzuia hewa safi kufika kwenye damu. Maambukizi haya yanaweza kusababishwa na bakteria, virusi, au fangasi.
Nimonia (Pneumonia)
Maana Rahisi
Nimonia ni maambukizi ya mapafu yanayosababisha viwambo vya hewa (alveoli) kujaa usaha au majimaji, hivyo kuzuia hewa safi kufika kwenye damu. Maambukizi haya yanaweza kusababishwa na bakteria, virusi, au fangasi.
Vihatarishi:
• Umri mkubwa au mdogo: Watoto wachanga na wazee wako kwenye hatari kubwa zaidi. • Magonjwa sugu: Magonjwa sugu kama kisukari, magonjwa ya moyo, na pumu. • Kingamwili dhaifu: Kingamwili dhaifu kutokana na magonjwa kama vile UKIMWI au matumizi ya dawa zinazopunguza kinga ya mwili. • Uvutaji wa sigara: Kuvuta sigara kunaweza kudhoofisha mfumo wa upumuaji na kuongeza hatari ya nimonia. • Shughuli za kazi: Kufanya kazi kwenye mazingira yenye vumbi au kemikali zinazoweza kuathiri mapafu. • Kuwa hospitalini kwa muda mrefu: Kukaa hospitalini kwa muda mrefu kunaweza kuongeza hatari ya kupata nimonia inayosababishwa na bakteria wa hospitalini. • Hali ya hewa: Hali ya hewa ya baridi inaweza kuongeza hatari ya maambukizi ya nimonia.
Dalili na Ishara.
UCHUNGUZI NA VIPIMO
Matibabu
• Upasuaji: Kuondoa sehemu ya mapafu yenye saratani au kuondoa pafu lote kulingana na hatua ya saratani.
o Lobectomy: Kuondoa kipande kimoja cha pafu (lobe).
o Pneumonectomy: Kuondoa pafu lote.
o Segmentectomy: Kuondoa kipande kidogo cha pafu.
• Radiotherapy: Matumizi ya mionzi kuua seli za saratani kabla au baada ya upasuaji.
• Chemotherapy: Matumizi ya dawa za kuua seli za saratani kabla au baada ya upasuaji.
• Targeted therapy: Matumizi ya dawa zinazolenga protini maalum kwenye seli za saratani.
• Immunotherapy: Matumizi ya dawa zinazosaidia mfumo wa kinga kupambana na saratani.
• Laser therapy: Matumizi ya mwanga wa laser kuondoa uvimbe au kuondoa tishu zilizokufa.
Kinga.
• Chanjo: Kupata chanjo za magonjwa yanayosababisha nimonia kama vile homa ya mafua na pneumococcal. • Kunawa mikono: Kunawa mikono mara kwa mara kwa sabuni na maji safi ili kuzuia maambukizi. • Kujikinga na baridi: Kuvaa nguo zinazofaa kulingana na hali ya hewa ili kuepuka baridi. • Kuepuka sigara: Kuepuka kuvuta sigara na mazingira yenye moshi. • Lishe bora: Kula lishe yenye virutubisho muhimu ili kuimarisha kinga ya mwili. • Mazoezi: Kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili kuimarisha mfumo wa upumuaji. • Kutumia barakoa: Kutumia barakoa kwenye maeneo yenye watu wengi au wakati wa msimu wa magonjwa ya upumuaji.
Experience convenience, reliability, and personalized care with Tube Medical Services! Contact us today for a healthier tomorrow!
#TubeMedical #HealthMatters #WellnessJourney #tanzania #daressalaam #afya #drmbashu #drissambashu #HealthcareRevolution #OnlineConsultation
The biggest challenge in medicine and health sciences today is competition over collaboration. We compete…
Bringing Healthcare Home in Dar es Salaam – The Rise of Home Visits At…
For too long, many medical professionals in Tanzania have hesitated to enter private practice…
The biggest challenge in medicine and health sciences today is competition over collaboration. We compete…
An alcohol enema is a method of administering alcohol directly into the rectum and colon…
Magonjwa Yenye Maambukizi Yaliyoenea Zaidi Nchini Tanzania
This website uses cookies.